Habari

Suma Lee amshushia dua Alikiba na familia yao baada ya kufiwa na baba yao (+ Video)



Aliyekuwa msanii wa muziki wa bongo Fleva Ismaili alimaarufu Suma Lee ameweza kuiombea dua familia ya Alikiba baada ya kupatwa na msiba.

Suma Lee ambaye kwa sasa ni Ostaadhi ameomba dua hiyo kwa familia hiyo baada ya kumaliza kuziba katika makaburi ya kisutu jijini Dar Es Salaam.

By Ally Juma.



Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents