Burudani ya Michezo Live

‘Tanzania itakuwa nchi ya mfano wa kuigwa duniani’ – Rais Magufuli (+video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa utekelezwaji wa miradi mikubwa ikiwemo ule wa umeme wa Stiglers Gorge, Utaifanya Tanzania kuwa nchi ya mfano wa kuigwa duniani kwa upande wa maendeleo.

Rais Magufuli ameyasema hayo leo Julai 11, 2019 wakati akihutubia wananchi wa Karagwe na kudai kuwa Tanzania imechelewa kuendelea kutokana na rushwa.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW