Habari

Tanzania yatembelewa na mgeni mwingine mkubwa kutoka Ulaya (+video)

Tanzania yatembelewa na mgeni mwingine mkubwa kutoka Ulaya (+video)

Ikiwa ni masaa tu yamepita tangu Rais Mstaafu wa Marekani, Barack Obama aondoke nchini jana Julai 15, 2018 baada ya kukaa siku 8 ya ziara ya mapumziko, hatimaye Tanzania imepata mgeni mwinginemkubwa kutoka barani Ulaya.

Akizungumza wakati wa kumlaki Barack Obama jana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Augustine Mahiga amesema Tanzania imempokea Rais wa Uswizi, Alain Berset na atakaa nchini kwa siku 10.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents