Habari

Tazama picha za matukio mbalimbali yaliyojiri bungeni leo April 9, 2018

Leo April,9 mwaka huu katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limeendelea mjini Dodoma; Hizi ni baadhi ya picha ya yaliyojiri katika bunge hilo.


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza Mkutano wa Bunge la Kumi na Moja la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Mjini Dodoma


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harisson Mwakyembe akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (kulia) na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza wakati wa Mkutano wa Bunge la Kumi na Moja la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Mjini Dodoma


Naibu Waziri Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Mhandisi Stella Manyanya akijibu maswali ya wabunge, wakati wa Mkutano wa Bunge la Kumi na Moja la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Mjini Dodoma


Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. William Ole Nasha akijibu hoja za wabunge, wakati wa Mkutano wa Bunge la Kumi na Moja la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Mjini Dodoma


Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akimweleza jambo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, wakati wa Mkutano wa Bunge la Kumi na Moja la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Mjini Dodoma

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents