Tupo Nawe

TB Joshua “Ntaomba nikiwa milimani sitakula hadi adui yetu Corona aondoke” – Video

Mchungaji maarufu duniani anayetokea katika taifa la Nigeria TEMITOPE BALOGUN JOSHUA alimaarufu kama TB JOSHUA ameamua kufunga na kupanda milimani kwa ajili ya maombi maalumu kuombe janga la Corona.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Mchungaji huyo ameamua kwenda kukaa milimani akiomba huku akidai kwamba hatashuka wala hata kula chochote mpaka pale janga hili la Corona litakapoondoka. “SITAKULA CHOCHOTE MPAKA PALE ADUI ATAKAPOONDOKA”

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW