Burudani ya Michezo Live

Team Kiba watoa misaada kwa watoto yatima siku ya Eid, Waeleza malengo yao

Team Kiba @officialalikiba watoa misaada kwa Watoto Yatima siku ya Eid,

Waleleza malengo yao na sababu ya kuamua kufanya hivyo “Team kiba corona charity ni project ambayo tulianzisha sisi mashabiki wa @officialalikiba Na wazo lilitolewa na mwenzetu aliepo marekani @liylibeibe kupitia moja ya group zetu na akanicheki mimi @newguy_totokiba ambae ni moja ya viongozi wa Team kiba hapa Tanzania kisha likafika kwa wajumbe wengine kama @g.kiba na @mfuasi_wakiba ambao tukashirikiana kupokea michango iliotumwa na watu mbalimbali hasa Team kiba diaspora waliopo mataifa kama Oman,Uk,na Marekani ambao wao wanaongozwa na @undercovertheboss pamoja na @liylbeibe so tukadonate kwenye huu mfuko wetu wa Team kiba ambao tumeangazia haswa kuwagusa watu wenye uhitaji kipindi hiki cha janga la corona..so tukaamua kukitembelea kituo kimoja kilichopo chanika kinaitwa KIND HEART AFRICA na jana tuliwalisha chakula sikukuu ya eid pamoja na kuwakabidhi vitu kama


:Mchele
:Maharage
:unga wa ugali
:sabuni
:Mafuta
:Barakoa
:Sanitizer
:Miswaki
:

Na malengo Ya Team kiba ni kufungua TEAM KIBA FOUNDATION hivi karibuni kwa ajili ya kuwagusa watu wenye mahitaji kwa upana zaidi

Viongozi ni
@newguy_totokiba
@liylbeibe
@g.kiba
@mfuasi_wakiba
@undercovertheboss

View this post on Instagram

#Bongo5Updates: Team Kiba @officialalikiba watoa misaada kwa Watoto Yatima siku ya Eid, Waleleza malengo yao na sababu ya kuamua kufanya hivyo “Team kiba corona charity ni project ambayo tulianzisha sisi mashabiki wa @officialalikiba Na wazo lilitolewa na mwenzetu aliepo marekani @liylibeibe kupitia moja ya group zetu na akanicheki mimi @newguy_totokiba ambae ni moja ya viongozi wa Team kiba hapa Tanzania kisha likafika kwa wajumbe wengine kama @g.kiba na @mfuasi_wakiba ambao tukashirikiana kupokea michango iliotumwa na watu mbalimbali hasa Team kiba diaspora waliopo mataifa kama Oman,Uk,na Marekani ambao wao wanaongozwa na @undercovertheboss pamoja na @liylbeibe so tukadonate kwenye huu mfuko wetu wa Team kiba ambao tumeangazia haswa kuwagusa watu wenye uhitaji kipindi hiki cha janga la corona..so tukaamua kukitembelea kituo kimoja kilichopo chanika kinaitwa KIND HEART AFRICA na jana tuliwalisha chakula sikukuu ya eid pamoja na kuwakabidhi vitu kama :Mchele :Maharage :unga wa ugali :sabuni :Mafuta :Barakoa :Sanitizer :Miswaki : Na malengo Ya Team kiba ni kufungua TEAM KIBA FOUNDATION hivi karibuni kwa ajili ya kuwagusa watu wenye mahitaji kwa upana zaidi Viongozi ni @newguy_totokiba @liylbeibe @g.kiba @mfuasi_wakiba @undercovertheboss Written by @el_mandle

A post shared by bongo5.com (@bongofive) on

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW