Burudani

Tiwa Savage aachia mixtape yake

First lady wa Mavin Records Tiwa Savage ameamua kufuata nyayo za msanii za Wizkid kwa kuachia Mixtape yake ‘Sugarcane’.

Mixtape hiyo iliyotoa leo ina jumla ya ngoma sita na itauzwa kiasi cha dola 5.94 sawa na kiasi cha shilingi 13,327.53 za kitanzania, ngoma kama ‘Ma Lo’ aliyomshirikisha Wizkid na Spellz pamoja na ‘All Over’ zitapatika humo.

Ngoma zingine zitakazopatikana ni ‘Sugarcane’ inayobeba jina la mixtape hiyo ‘Get It Now’, ‘Me & You’ na ‘Hold Me Down’.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents