Tia Kitu. Pata Vituuz!

Ujio mpya wa Chid Benz balaa, Akutana na Naibu Waziri wa Habari Shonza kuomba baraka na kuzungumza haya

Ujio mpya wa Chid Benz balaa, Akutana na Naibu Waziri wa Habari Shonza kuomba baraka na kuzungumza haya

Msanii wa bongofleva nchini Rashid Abdallah maarufu kama Chid Benz amemweleza Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shonza kuwa mapema wiki ijayo anatarajia kutoa video ya wimbo wake wa Beautiful na pia atatunga wimbo wa kuhusu Corona katika kikao kilichofanyika leo jijini Dodoma.

Waziri Shonza amemhakikishia Chid Benz kuwa wizara ipo tayari kumpa ushirikiano wakati wowote na kikubwa ni msanii huyo kujituma na kuonyesha umma kwamba kweli ameachana na matumizi ya madawa ya kulevya.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW