Burudani

Vanessa Mdee, Diamond Platnumz, Wizkid watajwa katika tuzo za MEAMA

Kwa mujibu wa C.E.O wa Faj Global Ent. LTD, Mastic Royal Club(MRC) na mwenyekiti wa Faj Online- Radio, Mr Fajuyi Adeniyi Oluwaseun wametaja majina ya awamu ya pili ya washiriki wa tuzo  za Middle East African Music Award(MEAMA).

Kabla ya kutaja majina hayo  C.E.O wa Faj Global Ent. LTD, ambaye yupo katika bodi ya burudani Egypt amesema kuwa tasinia ya muziki wa Africa imekuwa na msisimko na inaonyesha nia ya kupeleka muziki mbali.

Mwisho wa upigaji kura ni Septemba 30 na majina yote yatapatikana katika website, na ugawaji wa tuzo hizo utafanyika sehemu ya kihistoria nchini Egypt.

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents