Bizzare
VIDEO INATISHA: Mchungaji amfufua marehemu aliyepelekwa kanisani kwa ajili ya ibada ya mwisho
Mchungaji aitwaye Alph Lukau wa Kanisa la Alleluia Ministries International church lililopo kasikazini mwa jiji la Johannesberg nchini Afrika Kusini, Jana Jumapili Februari 24, 2019 amemfufua marehemu kanisani kwake aliyepelekwa kwa lengo la kuombewa kwa ajili ya mazishi.