Burudani

Wafanyabiashara wacharuka “Wasanii wanatuharibia watoto wetu, Diamond anatuangusha bora Alikiba” – Video

Wafanyabiashara wacharuka "Wasanii wanatuharibia watoto wetu, Diamond anatuangusha bora Alikiba" - Video

Baadhi ya Wafanyabiashara katika soko la Kariakoo wametoa ya moyoni kuhusu wasanii wanatumia mitandao ya kijamii kupost vitu visivyokubalika katika jamii
Baadhi yao wamesema kuwa watoto wao wanaongoza kuwafautilia sana kwenye mitandao ya kijamii lakini pia wakiwa kama vioo vya jamii wanapaswa kufanya vitu ambavyo jamii itaiga hata watoto watajifunza mengi kutoka kwao.

Mmoja wa wafanyabiashara hao amesema kwamba kuna baadhi ya wasanii wamemvunja moyo maana alikuwa anawapenda sana akiwatolea mfano kama Meninatz Diamondplatnumz Harmonize na wengine lakini akiongeza kuwa angalau msanii anayejitahidi ni Alikiba “Watoto wangu wanampenda sana Alikiba na kwa sasa wameshina suruali zinaitwa #Kibastyle wanazipenda kweli yani, Dudu baya naomba abadilike “

By Ally Juma,

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents