Burudani
Waliodai Tiwa Savage mama kijacho waumbuka
First lady kutoka Mavin Records, Tiwa Savage ameimbua blog ya LIB iliyoandika kuwa ana mimba na anatarajia kupata mtoto wa pili.
Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram, mrembo huyo amekanusha vikali juu ya taarifa hiyo na kudai kuwa ni uongo kwani hapo alikuwa amenenepa tu.
YEPKA 🙈🙈🙈 Sorry this ISNT true guys
#ThoughtThisWasAReputableBlog
#JustGainedHappyWeight
#HeadingStraightToTheGym 🤣🤣🤣
#FunnyHowPeopleThinkTheyKnowWhatsGoingOnInOtherPeoplesWomb
#NoPregnancyHereYet
#GodsTime
https://www.instagram.com/p/Bbw9JnIg8FG/?taken-by=tiwasavage