Burudani

Wasanii Alikiba na Harmonize waandika ujumbe huu wa kumpongeza Rais Magufuli baada ya kushinda uchaguzi

Baada ya matokeo kutangazwa ya kuwa kwa awamu ya pili Dkt. John Pombe Magufuli anaenda kuliongoza taifa la Tanzania tena na watu wengi kumpongeza kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii.

Wasanii Alikiba na Harmonize hawakuwa nyuma na wao wamempongeza Rais Magufuli kwa kuchaguliwa na wananchi kulingooza taifa la Tanzania kwa mara nyingine tena.

Kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii wameandika haya.

ALIKIBA.

Hongera kwa ushindi wa kishindo Mheshimiwa Rais Mteule, Dr John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais Mteule @samia_suluhu_hassan. Watanzania tumeonyesha imani kubwa nanyi kwa kuwaongezea miaka mengine 5 ya kuliongoza taifa letu, nawaombea kwa Allah awaongoze katika kila hatua ya uongozi wenu kwenye taifa hili, muongoze kwa amani, upendo na busara zaidi katika kuisogeza Tanzania katika maendeleo makubwa zaidi. Mwenyezi Aibariki Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ, Dr John Pombe Magufuli na viongozi wote waliochaguliwa katika uchaguzi mkuu. Tudumishe Amani na Upendo. @asas_dairies @ccmtanzania. @hpolepole @gersonmsigwa
#MagufuliTanoTena
#KingKiba

https://www.instagram.com/p/CHALLmahKbn/?igshid=qvqoxetvvg5p

https://www.instagram.com/p/CHALLmahKbn/?igshid=qvqoxetvvg5p

HARMONIZE.

Happy birthday Mr president ๐ŸŽ‰๐ŸŽˆ๐ŸŽ†๐Ÿงจ Pole Kwa Uchovu wa Kuzunguka Kila Chochoro Kuzinadi Sera Tukufu na Hatimae Tumeshinda Kwa Kishindo Hongera Sana ….!!!! DR JOHN POMBE MAGUFULI rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Kazi Ziendele…!!!!! ๐Ÿ We made History Together ๐Ÿ›€๐Ÿ›€ Na Kesho Tutasherehekea Hapa KONDEGANG H.Q #USHAMBANIGHTPARTY ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ

https://www.instagram.com/p/CHAMGUnHMur/?igshid=1692osmmcjx5n

https://www.instagram.com/p/CHAMGUnHMur/?igshid=1692osmmcjx5n

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents