Waziri Kigwangalla: Sijui kwanini Kenya wanalalamika, tunawakaribisha kwetu waje kutalii (+Video)

Sijui ni kwanini Kenya wanalalamika na siwezi kuwasemea Kenya Utalii wa ndani umekuwa kwa kasi sana, tumewahamasisha wafanyabiashara wa sekta ya utalii washushe gharama ili ziwe chini kiasi kwamba Watanzania wengi zaidi waweze kwenda kufurahia vivutio vyao “ – Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. @hamisi_kigwangalla katika tukio la uzinduzi wa matumizi ya mhuri wa SAFE TRAVELS.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW