Tia Kitu. Pata Vituuz!

Waziri Mkuu Majaliwa atangaza Shule kufungwa, Michezo na mikutano ya kisiasa kusimama kwa siku 30 kisa Corona, Ataja maeneo ya kuwahifadhi wagonjwa – Video

Waziri Mkuu Majaliwa atangaza Shule kufungwa, Michezo na mikutano ya kisiasa kusimama kwa siku 30 kisa Corona, Ataja maeneo ya kuwahifadhi wagonjwa - Video

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametangaza kufungwa kwa shule zote za awali hadi kidato cha sita kwa siku 30 kuanzia leo Machi 17, 2020 kutokana na mlipuko wa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya #Corona

Tangazo hilo la Waziri mkuu lilielezea kuwa pia maeneo yote yenye mikusanyiko mikubwaya watu ikiwemo michezo yote pamoja na mikutano ya Kisiasa kusimama kwa siku 30.

By Ally Juma.

 

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW