Michezo
Yanga yatakiwa kujifunza kwa Sporting Lisbon
Hii sio show ya Muziki wala sio mkusanyiko wa kampeni ya kisiasa bali ni mkusanyiko wa wapenda soka huko Ureno katikati ya jiji la Lisbon.
Hawa ni mashabiki wa klabu ya Sporting ambao wapo kwenye sherehe za kusherehekea ubingwa wa 20 wa klabu yao ya Sporting.
Sporting ni mabingwa mara 20 huku Porto wakiwa mabingwa mara 30 na Benfika wakiwa vinara wakitwaa kombe hilo mara 38.
Kwa sababu soka letu linaendelea unahisi Yanga wakiwa mabingwa msimu huu kwa sababu wana nafasi kubwa ya kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu Tanzania bara kuna cha kujifunza hapa??
Kama unahisi Yanga wana cha kujifunza kwenye hii video ya mashabiki wa Sporting ni kipi??
🎬 via Sporting Clube.
Imeandikwa na Mbanga B.