Burudani

20 Percent amtambulisha msanii wake mpya ‘EBL Dracula’ na lebo yake ya 20 Power (+ Video)

Mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva 20 Per Cent amemtambulisha msanii wake mpya EBL DRACULA ambaye ndio msanii wa kwanza kwenye lebo yake ya 20 POWER.

Msanii huyo ameeleza kuwa ana mwaka mmoja tangu asainiwe na 20 Percent lakini amekuwa naye takribani miaka 8 hadi kusainiwa kwake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents