Michezo

Yanga kukipiga leo

Mechi kati ya JKT na Yanga Sc iliyoahirishwa jana Aprili 23, 2024 itapigwa leo Aprili 24 kuanzia saa 10:00 kwenye uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni Jijini Dar es Salaam.

 

Mchezo huo awali ulishindikana kuchezwa hapo jana kutokana na uwanja huo kujaa maji kutokana na mvua kubwa zilizokuwa zikinyesha.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents