Michezo

Safari ya Simba mpaka kupigania nafasi ya Pili

Kutoka kupigania ubingwa mpaka kupigania nafasi ya pili na Azam FC, mpaka ilivyo sasa hata tukishinda mechi zetu zote za viporo bado Azam anakuwa juu yetu, maana yake ni kuwa tuna uwezekano mkubwa zaidi wa kumaliza nafasi ya tatu msimu huu na kutishia nafasi ya kushiriki Michuano ya klabu bingwa Afrika.

Sijaumizwa na matokeo, siumizwi na kupotea njia, kinachoniuma zaidi ni kuwa:

– Nani wa kutuonesha njia mpya? Majibu ni Viongozi, wapo? Jibu ni SIJUI.

– Tunaweza kurejea kwenye ubora? Jibu ni NDIO, lakini tunarudije? Kwa njia ipi? Hatujui.

– Ukitazama kikosi chetu, Wachezaji muhimu unawaona watabaki kwenye peak kwa muda mrefu? Jibu ni HAPANA, Je una wachezaji wa maana wadogo wanaokuja? Jibu ni Hakuna.

Dark period in Simba Sports club history, inaumiza tu saana hii timu.
Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents