Michezo

Zaka za Kazi alia na waamuzi (Video)

Afisa habari wa Klabu ya Azam Thabit Zakaria (Zakazakazi) akiwazungumzia waamuzi wa mchezo wao dhidi ya Simba SC ulioisha kwa kupoteza kwa mabao 0-3, Zakazakazi anaamini waamuzi hawajatenda haki.

Aidha Zaka za Kazi amesema ni kwa mara ya kwanza mwamuzi Arajiga ametoa penati kwa Azam baada ya miaka mingi kupita.

 

Kuangalia video kamili Bonyeza link hapo chini:

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents