Burudani
Jaivah “mimi ni mtetezi wa ndoa za watu” sakata la S2kizzy na Abbah
JAIVAH “MIMI NI MTETEZI WA NDOA ZA WATU“ AFUNGUKA SAKATA LA S2KIZZY NA ABBAH
Katika mazungumzo na Bongo5 tv nyota wa muziki wa amapiano @jaivah ameeleza kuwa yeye amekuwa mtetezi wa ndoa nyingi za watu ambapo katika hilo amegusia sakata linaloendelea kwenye mitandao ya kijamii kati ya Produza S2kizzy pamoja na Abbah
Video nzima katika akaunti yetu ya youtube ya Bongo5
Written and edited by @abbrah255 Camera man @Johnbosco_mbanga