Burudani
Dj wa Clouds Scratch Designer afunguka bifu la S2kizzy na Abbah

Katika mazungumzo na Bongo5 tv Dj wa Clouds Media @djscratchdesigner amefunguka kuhusu maisha yake huku akielezea kuhusu project yao mpya ya Team Crown kuwagusa wenye uhitaji kwa Mikoa tofauti tofauti
Mbali na hilo Scratch amefunguka kuhusu sakata linaloendelea kwenye mitandao ya kijamii kati ya produza S2kizzy pamoja na Abbah
Video nzima katika akaunti yetu ya youtube ya Bongo5
Written and edited by @abbrah255 Camera man @Johnbosco_mbanga