Burudani

Ice Cube achukizwa na moja ya tabia za Marapa

Mkongwe kwenye game ya HIP-HOP kutoka Marekani Ice Cube hafurahishwi kabisa na kinachoendelea sasahivi kwenye muziki wa hiphop.

Ice Cube ni msanii mwandishi wa nyimbo, mwigizaji na mtayarishaji wa rekodi wa Marekani ambaye alianza kama mwanachama wa kundi la Muziki N.W.A. Amejipatia umaarufu kwa uandishi wake wa nyimbo zinazohusu maisha ya mitaani na masuala ya kijamii. Ana Historia ndefu ya mafanikio katika muziki wa hip-hop napia amefanya kazi katika tasnia ya filamu.

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents