Michezo

Natamani tuliocheza nao turudiane ili tuwaoneshe – Ahmed Ally (Video)

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba Ahmed Ally atema cheche baada ya timu yake kuibuka na ushindi wa bao 0-3 dhidi ya Azam kwenye mchezo wa Ligi Kuu katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jana Mei 09, 2024.

Ahmed anasema anatamani wale wote waliocheza nao kama kuna nafasi warudiane huku akiitaja Al Ahly kama watakutana nao kwa sasa wataifunga nje Ndani.

 

Kuangalia video kamili Bonyeza link hapa chini:

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents