Michezo

Hata angekuwepo Dube asingewasaidia Azam kuondoka na Ushindi – Ahmed Ally (Video)

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba Ahmed Ally baada ya kuulizwa swali kuwa ushindi wao umetokea baada ya kutokuwepo kwa Straika aliyetimka hivi karibuni kwenye klabu ya Azam Prince Dube, amejibu kwa kicheko kikali na kuwaambia Azam FC hata kama angekuwepo Dube ushindi wao usigewezekana kwa kuwahakikishia hilo wataona msimu ujao Simba atakapochukua Ubingwa wake.

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents