Michezo
Msimu Ujao mtaijua Simba halisi – Ahmed Ally (Video)

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba Ahmed Ally anawauliza mashabiki wa Timu pinzani kuwa wanamjua Juma Mgunda kweli anahamu ya kurudiana na timu zote walizocheza nazo kwa mgunda huyu hakuna timu ya kuwazuia Afrika.
Jina la Lameck Lawi limemkaa sana msemaji na kutamba wachezaji wazuri wote lazima wacheze Simba.
Je ni kweli juu ya kauli hiyo hakuna timu kwa sasa ya kuizuia Simba Afrika??
Video nzima katika akaunti yetu ya Youtube ya Bongo5
Imeandikwa na Mbanga B.