Michezo
Mashabiki wa Simba watisha baada ya Ushindi (Video)

Tazama Vibe la mashabiki wa Simba baada ya kuibuka na ushindi wa goli 3 dhidi ya Azam FC ni balaa
Video nzima katika akaunti yetu ya Youtube ya Bonngo5
Imeandikwa na Mbanga B.