Michezo

Zakazakazi akubali yaishe (Video)

Afisa Habari na Mawasiliano wa Azam FC, Zaka za Kazi amesema wamekubali wamecheza chini ya kiwango na kugusia kwamba katika mchezo wa leo Simba SC wamekuwa na siku nzuri hivyo kuwa sababu ya kupoteza kwa kufungwa goli 3-0 dhidi ya Simba SC.

Lakini pia Zakazakazi amemsifia Refa wa leo Arajiga kwa kuwa fair kwenye mchezo mkubwa kama huu.

Video nzima katika akaunti yetu ya Youtube ya Bongo5

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents