Burudani

50 Cent amchoma P Diddy vibaya

Bifu la East Coast na West Coast ambalo lilipelekea vifo vya Rapa Tupac na Notorious BIG, Kama ulidhani limeisha bash ndo kwanza linaanza kuwaka moto upya.

Wakati maafisa usalama wa Marekani wakipewa kibali cha kumtia nguvuni P Diddy kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono, takati huohuo Rapa 50 Cent kajitokeza kukazia shutuma hizo mbele ya mashabiki wake huko mitandaoni.

Kupitia ukurasa wake wa X 50 Cent aliandika kuwa, “Sasa hive ni sio P Diddy kafanya nini ni P Diddy kamalizwa, hawajui hivyo isipokuwa wamepata kesi.”

Hivyo silo mara ya kwanza 50 Cent kumkataa P Diddy hadharani kwani katika baadhi mahojiano ambayo kawahi kufanya na Breakfast Club, alisema P Diddy Sio mtu mwema kama watu wanavyofikiria.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents