Burudani

50 Cent azungumzia sababu ya kupatana na The Game

Rapper 50 Cent na The Game ni washkaji tena.

50-cent-the-game-beef

Baada tu ya 50 Cent kufungua maduka yake ya bidhaa za reja reja amezungumza kwenye show ya Big Boy kuhusu mahusiano yake na Game.

“Kila siku nasema naelewa kilichotokea kati yetu, sijawahi kumtakia mabaya The Game, tulikuwa eneo moja na hatukuwa na tatizo lolote, namtakia mema kila wakati,” alisema.

Hivi karibuni 50 Cent na The Game walikutana kwenye club moja mjini Los Angeles Game alishika kipaza na kusema, “I f*ck with 50. What happened, that shit was 12 years ago. Ni**as ain’t on that shit. Drink your motherf*ckin’ Effen…Ain’t nobody on that old shit.”

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents