Habari
Europa Cup: Lingard na Pogba washangilia ushindi kwa dab (Picha)
Manchester United imepata ushindi katika mechi ya Europa Cup dhidi ya klabu ya Fenerbahce kwa mabao 4-1.
Paul Pogba alifunga mabao mawili huku Jesse Lingard akifunga goli la nne. Baadaye walionesha furaha yao ya kuifungia Man United kwa kudab. Angalia picha zao zilizosambaa kwenye mitandao.