Habari
Taarifa ya mvua kubwa ya upepo kutoka mamlaka ya hali ya hewa (TMA)
![](https://bongo5.com/wp-content/uploads/2017/05/MVUA.jpg)
Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) imetoa tahadhari hii kwa umma, kuhusu vipindi vya mvua kubwa vinavyoambatana na upepo mkali katika ukanda wa pwani.
Soma taarifa kamili:
Na Emmy Mwaipopo