Burudani
Mitindo ya Cannes Film Festival
Kwa siku mbili mfululizo mastaa mbali mbali walijitokeza katika kuadhimisha miaka 70 ya tamasha la Cannes Film Festival jijini Paris, Ufaransa.
Katika tamasha hilo liliofanyika tarehe 18 na 19, ambapo ni C.EO wa Caroline Scheufele pamoja na mwanadada Rihanna walikuwa watangazaji.
Hivi ndivyo mastaa walivyotokelezea siku hiyo.
Na Laila Sued