Habari
Prof. Kabudi anena mazito wakati wa kuuga mwili wa mke wa Dkt Mwakyembe(+video)
Waziri wa Katiba na Sheria,Prof. Palamagamba Kabudi alikuwa ni mmoja wa waliokuwepo wakati wa kuuaga mwili wa mke wa Dkt Harrison Mwakyembe, Linah Mwakyembe aliyefariki Jumamosi hii, katika hospitali ya Agha Khan jijini Dar es salaam. Waziri Kabudi amezungumza kwa niaba ya Serikali.
Tazama video hii:
Na Emmy Mwaipopo