Habari
Rais Magufuli amteua Bw. Gregory Teu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya KADCO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amemteua Gregory George Teu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kilimanjaro Airports Development Company(KADCO) kwa mujibu wa sheria kifungu 9(1) na 2 uteuzi huo unaanza leo.
Uteuzi huo unaanza mara moja baada ya Rais Magufuli kutengua uteuzi wa Mwenyekiti wa bodi ya Kilimanjaro Airports Development Company(KADCO), Balozi Hassan Gumbo Kibelloh.
Soma taarifa kamili: