Habari
Video: Kwenye demokrasia hatupaswi kuchekeana – ACT – Wazalendo
Katibu wa Itikadi, Mawasiliano na Uenezi, Ado Shaibu ACT- Wazalendo,amesema kuwa kwenye demokrasia watu hawapaswi kuchekeana huku akidai kuwa wakichekeana watu watapelekwa muswada bungeni kwamba vyama vya siasa vifutwe. Tazama video hii akieleza.