Habari
Maneno ya Mh. Mbowe baada ya dhamana ‘Huu ni udikteta kamili’ (+video)
Mwenyekiti wa ChademaTaifa, Freeman Mbowe na Viongozi wengine wa CHADEMA waliowekwa gerezani kwa siku 7 wameachiwa kwa dhamana leo ambapo baada ya kuachiwa kwa dhamana hiyo kiongozi huyo amefunguka.