Habari
Mh. James Mbatia ampa pole Spika Ndugai kufuatia vifo vya Wabunge (+video)
Mbunge wa Jimbo la Vunjo, James Mbatia ametoa pole Spika wa Bunge, Job Ndugai kufuatia vifo vya wabunge wa Tano waliofariki tangu Bunge hilo lianze mwaka 2015.