Burudani
Esha Buheti: Nikirudi hata saa 12 asubuhi mume wangu hana shida, kikubwa pesa (Video)
Msanii wa filamu na mjasiriamali, Esha Buheti amefunguka kwa kudai kwamba mume wake hana tatizo hata kama yeye akirudi nyumbani kwao saa 12 asubuhi.