Burudani
Shilole amfungia kazi Roma na Stamina “wakibishana na mimi watakuwa wanaume kama mabinti” (Video)
![](https://bongo5.com/wp-content/uploads/2019/09/Screen-Shot-2019-09-26-at-18.28.01.png)
Shilole awafungia kazi Roma na Stamina kisa wimbo wao ‘Kijiwe Nongwa’ kumkosea heshima mume wake Uchebe. “Romalishaaa na Staamina wakibishana na mimi wanakuwa wanaume kama mabinti”