Mahojiano
Killy wa Kings music atoboa siri jinsi wanavyoishi na boss wao Alikiba wakiwa nyumbani -Video
Killy wa Kings music atoboa siri jinsi wanavyoishi na boss wao Alikiba wakiwa nyumbani "Yeye anaishi muziki hata akiwa chumbani anaimba tu" -Video
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva kutoka lebo ya muziki ya Kings music iliyopo chini ya Alikiba Killy ametoboa siri jinsi wanavyoishi na boss wa Alikiba wakiwa nyumbani.
“Leo nataka niwaambie watu kitu Alikiba anapenda sana kazi yake na ana mikakakti yake aliyojiwekea, yeye anaishi muziki tu na ametufundishi hadi sisi, anaweza kutokea chumba anaimba na sisi muda wote tunaimba tu”
https://www.youtube.com/watch?v=rvo9ybCmJHY&t=8s
By Ally JUma.