Mahojiano
Baada ya Seven Mosha Baraka de Prince agombana na uongozi wake, Waanika madudu yake – Video
Aliyekuwa meneja wa @barakahtheprince_ @faky_junior amefunguka sababu zilizopelekea kuacha kufanya kazi na msanii wake “Sikusaini nae mkataba, alifuta kila kitu na kutoa kwenye bio ya Instagram bila kunambia kisa nilimtumia hela ya Uber”
@faky_junior pia amemshauri @barakahtheprince_ endepo atataka kufanya vizuri kwenye muziki na kuachana na utoto akue ndo atafanikiwa.