Michezo
Ligi kuu Uingereza yaruhusu kufanyika mabadilika ya wachezaji 5 katika mchezo mmoja
Ikiwa ligi kuu Uingereza inatarajiwa kurejea juni 17, vilabu vya ‘Premier League’ vitaruhusiwa kufanya mabadiliko katika mchezo mmoja hadi wachezaji 5 katika mchezo husika hadi pale yatakapofanyiwa marekebisho tena.
#Bongo5Updates: Ikiwa ligi kuu Uingereza inatarajiwa kurejea juni 17, vilabu vya 'Premier League' vitaruhusiwa kufanya mabadiliko katika mchezo mmoja hadi wachezaji 5 katika mchezo husika hadi pale yatakapofanyika marekebisho tena. pic.twitter.com/s5jjyDESjw
— bongo5.com (@bongofive) June 4, 2020