Habari
Utani wa Rais Magufuli kwa Wazaramo: DC hajaolewa, shida ya Wazaramo mnashindwa mambo (+Video)
“Hata Mkuu wa Wilaya wa hapa amefanya kazi nzuri katika kuondoa Zero, ninachowashangaa watani zangu Wazaramo hajaolewa, lakini mnashindwa kumuoa mnamuangalia tu, ndiyo shida ya Wazaramo saa zingine mnashindwa mambo” -Rais Magufuli
https://www.youtube.com/watch?v=1iEYdIbn5eQ