Baada ya malalamiko kupelekwa Polisi na taarifa kutoka Kenya zikieleza kuwa @harmonize_tz alikamatwa na Polisi Kenya. Hapa akitoa maelezo kuhusu kilichotokea na kwanini aliitwa Polisi.
Pia @harmonize_tz ameeleza kuhusu tuhuma za kumpiga @ericomondi