Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond PlatnumzHabari
Maisha ya Diamond Qatar, shabiki wa Mbappe aliumia kufungwa na Tunisia
Mnamo tarehe 28 Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Naseeb Abdul alimaarufu kama Diamond Platnumz aliondoka nchini na timu nzima ya Wasafibet kuelekea Doha Qatar kushuhudia baadhi ya michezo katika kombe la Dunia.
Lengo la Dimaond kwenda Qatar ni kuwapeleka washindi wa Wasafibet baada ya kucheza michezo na Kushinda.