Burudani
Mtandao wa Society for International Development wafanya interview na Vanessa Mdee
Hivi karibuni mtandao wa Society for International Development umefanya mahojiano na mtangazaji na muimbaji anayehit kwa sasa na wimbo wake Closer, Vanessa Mdee. Katika interview hiyo Vanessa amezungumzia kazi yake ya utangazaji, muziki wake, muziki wa Tanzania na Afrika kwa ujumla.
Ingia hapa kusikiliza mahojiano hayo:
http://www.sidint.net/content/east-africa-today-interview-vanessa-mdee