Habari
Soundbite of the Day: Majina ya Hip Hop yalivyompa shida aliyesoma nominations za Kili Awards
Majina ya wasanii wa Hip Hop wakati mwingine ni magumu kuyatamka kama hujayazoea. Mapema leo baraza la sanaa Tanzania, BASATA, limetaja majina ya wasanii watakaowania tuzo za Kili mwaka 2013 ambapo msomaji wa majina hayo kutoka BASATA alijikuta akipata shida kutamka baadhi ya maneno likiwemo jina la wimbo wa Nikki wa 2, Bum Kubum. Msikilize hapa.