Burudani
Picha: Izzo Bizness, Shaa na Barnaba washoot video ya Love Me
Rapper kutoka Mbeya Izzo Bizness anatarajia kuachia video ya wimbo wake mpya, Love Me aliowashirikisha Shaa na Barnaba. Kupitia Instagram, rapper huyo ameshare picha za wakati wa uchukuaji picha za video hiyo.
Izzo B kwenye scene ya chumbani
Shaa akiwa location ya nje wakati wa uchukuaji wa video hiyo
Msichana atakayeonekana kwenye video hiyo
Barnaba ataonekana hivi!!!