Habari
Say What? Reaction kuhusu uamuzi wa EBSS kuhamishiwa TBC1 toka ITV
Uamuzi wa kuhamishwa kwa mashindano ya Epiq Bongo Star kutoka kwenye kituo cha runinga cha ITV kwenda kuoneshwa TBC1 mwaka huu umepokelewa kwa hisia tofauti na wapenzi wa show hiyo. Zaidi ya asilimia 80 wanasema huo si uamuzi sahihi. Sikiliza Episode ya 5 ya Say What usikie reactions za wasomaji wa Bongo5.
[soundcloud url=”http://api.soundcloud.com/tracks/104407022″ params=”” width=” 100%” height=”166″ iframe=”true” /]